MWANYIKA AIHOJI SERIKALI NI LINI GST ITAKWENDA NJOMBE KUTAFITI MAENEO YA MADINI?+video


 Mbunge wa Njombe, Deo Mwanyika ameihoji serikali bungeni septemba 20, 2022, ni lini Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), itakwenda Njombe kutafiti maeneo ya madini?


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akihoji jambo hilo huku akijibiwa na Naibu Waziri wa Madini, Dkt Steven Kiruswa..

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU
 KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI