ZEDI : TANZANIA IKIRIDHIA ITIFAKI VITA DHIDI YA UGAIDI AFRIKA ITAFAIDIKA+video


 Mbunge wa Bukene, Selemani Zedi amelieleza Bunge faida lukuki itakayopata endapo Bunge la kiridhia itifaki ya mkataba wa umoja wa Nchi Huru za Afrika wa Kuzuia na Kupambana na na Ugaidi ya mwaka 2004.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Zedi akitaja faida hizo...


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE