Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda akichangamkiwa na wabunge nje ya viwanja vya Bungenge Dodoma Februari 3, 2023, baada ya kutambulishwa ndani ya Bunge na Naibu Spika, Mussa Zungu. Chatanda ambaye alichaguliwa kushika wadhifa huo Novemba mwaka jana, amewahi kuwa mbunge kwa miaka 15.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda akitambulishwa na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu bungeni Dodoma Februari 3, 2023. Chatanda amewahi kuwa Mbunge kwa kipindi cha miaka 15.
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu akimtambulisha Mary Chatanda.
Chatanda akiwa amekaa jukwaa la wageni wa Spika. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu UWT Tannzania Bara, Riziki Kingwande na msaidizi wake.
Naibu Katibu Mkuu UWT Tanzania Bara, Riziki Kingwande akitambulishwa.
Chatanda akiondoka bungeni baada ya kutambulishwa.
Chatanda akipiga picha za kumbukumbu na baadhi ya wabunge nje ya lango kuu la kuingilia bungeni.
Akisalimiana na baadhi ya wabunge.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/ona kupitia clip hii ya video, Chatanda alivyochangamkiwa bungeni....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203
Comments