VYAMA 19 VYA SIASA VYAJITOKEZA KUTOA MAONI RASIMU YA KANUNI ZA UCHAGUZI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba, akifungua  kikao cha viongozi wa  wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu kujadili rasimu ya kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa.


Baadhi ya Viongozi wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu vimebariki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usimamiwe na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) hadi hapo sheria itakapobadilishwa bungeni.


Wametoa maoni hayo wakati wa kikao cha vyama hivyo kujadili rasimu ya kanuni za uchaguzi huo wa mwaka 2024 jijini Dodoma Juni 15, 2024.

Viongozi mbalimbali wa vyama hivyo wakiwa kwenye kikao hicho wakati wakutoa maoni.












 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

RAS KILIMANJARO NA DEREVA WAFARIKI KWA AJALI, MKUU WA MKOA ADHIBITISHA

BALOZI NCHIMBI AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU, MGOMBEA URAIS WA FRELIMO

MBUNGE MBOGO AWAALIKA BUNGENI VIONGOZI UWT KATAVI

DKT NCHIMBI AUNGURUMA KILIMANJARO

SPIKA TULIA AMLILIA MBUNGE EALA

WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BAJETI YA 2024/2025

PROF NDAKIDEMI AITAKA SERIKALI KUPELEKA VIFAA TIBA URU KUSINI

KIKWETE AANZISHA MSOGA HALF MARATHON

WANANCHI KIBOSHO WAIOMBA SERIKALI KUWAJENGEA VIVUKO VYA KUDUMU