- Get link
- X
- Other Apps
HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO
AGE - 49 years LICENCE - UEFA Pro Licence TEAMS - Amora , Cova da Piedade , Sporting CP , Primiero de Agosto , Angola National Team & Young Africans ✍️🏽Falsafa ya Msingi ya Uchezaji Ni kocha anayeamini katika mpira wa akili( Intelligent Football ) usiotegemea nguvu au kasi tu bali ufahamu wa nafasi, mpangilio na uamuzi wa haraka wa matukio. 🎨 Mambo Makuu ya Falsafa yake 1- Balanced Tactical Football Kushambulia kwa mpangilio mzuri, kujenga mashambulizi kupitia pasi fupi na kutumia wachezaji wa pembeni kufanya quick transition. 2- Possession with Purpose Hapendi timu yake imiliki kwa takwimu tu bali kwa kutengeneza nafasi za maana na kimkakati. 3- Quick Transitions Timu zake zina uwezo mkubwa wa kugeuka kutoka kulinda hadi kushambulia ndani ya sekunde chache. 4- Structured Defense Timu iikiwa inazuia wachezaji wake wote wanashiriki kujilinda hata washambuliaji wana jukumu la kurudi nyuma pale wakati hawana mpira 5- Strategic Patience Hataki timu yake icheze kwa vurugu ili k...
RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA
Rais Joyce Banda aliapishwa kuwa Rais wa 4 wa Malawi tarehe 7 Aprili, 2012 baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika akiwa madarakani. Awali Rais Banda alikuwa Makamu wa Rais na kwa mujibu wa Katiba ya Malawi alitakiwa kuwa Rais baada ya kifo cha Rais aliyeko madarakani. Akiwa Makamu wa Rais, Joyce Banda alitengwa na Rais wake katika maamuzi makubwa na muhimu ya uendeshaji wa nchi. Inasemekana kutengwa kwake kulitokana pamoja na mambo mengine, kutofautiana na Rais Mutharika juu ya azma ya Rais Mutharika ya kumuandaa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa Peter Mutharika kugombea urais wa Malawi baada ya yeye kumaliza muda wake. Kifo cha Rais Bingu wa Mutharika kilitibua mkakati huo wa kupokezana urais kifamilia. Waziri Peter Mutharika na genge lake wakiwemo maafisa waandamizi wa Serikali, na watu wao ndani ya Usalama wa Taifa na Polisi wakaanza mchakato wa kuzuia Makamu wa Rais Joyce Banda asiwe Rais. Mpango huo ulitibuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Jenerali He...
Hii ni Kampeni ndani ya Vitongoji vyote 374 vya Jimbo la Musoma Vijijini kuwafuata wapiga kura majumbani, kwenye vituo vya usafiri, senta za biashara, mialoni, vijiwe vya bodaboda,magenge ya mama lishe, n.k. Lengo la kuwafuata huko waliko ni kuendelea kueleza utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya kila kijiji na vitongoji vyake kwa miaka mitano iliyopita na ile mitano ijayo (Ilani za Uchaguzi za CCM za 2020-2025 & 2025-2030), na Dira ya Maendeleo ya Taifa (2025 -2050) Vilevile, Timu yetu ya Kampeni ikiwajumuisha Viongozi kwenye Vitongoji hivyo 374, itahamasisha WAPIGA KURA wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura (tarehe 29 Okt 2025) na kuwachagua wagombea wote wa CCM wakiongozwa na Mgombea Urais Dkt Samia Suluhu Hassan, Mgombea Ubunge wa Jimbo letu na Wagombea Udiwani 21 wa kata zetu zote. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele. Timu ya Kampeni CCM - Jimbo la Musoma Vijijini. Jumapili Okt 19, 2025.
CCM YAPULIZA KIPYENGA WANAOWANIA USPIKA, NAIBU SPIKA
26.Ujenzi wa Daraja Kubwa la Simiyu lenye mita 150 pamoja na Barabara Unganishi. 27.Ujenzi wa Daraja Kubwa la Sukuma lenye urefu wa mita 70 na barabara Unganishi km 4. 28.Ujenzi wa Kituo Cha Kanda Cha Uokoaji Ziwa Viktoria 29.Majengo ya Utawala ya Halmashauri eg Kwimba,Magu, Sengerema DC nk. 30.Ujenzi wa Uwanja Mpya wa Michezo "Tabasam" Sengerema pamoja na Kukarabati wa viwanja vya CCM kirumba na Nyamagana. 31.Mradi wa Maji Kisesa bln 49
DKT.SAMIA NITAHAKIKISHA NAKUSAIDIA KWA NGUVU, AKILI, MAARIFA NA UAMINIFU - DKT. NCHIMBI
Mgombea mwenza wa Urais katika nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa kwa imani pekee aliyoionesha kwake Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amemhakikishia kuwa namna pekee anayoweza kuilipa ni kumsaidia kwa nguvu, akili, maarifa na uaminifu ili ndoto na maono yake na utekelezaji wa ilani ya CCM (2025/30) ufanyike kwa mafanikio makubwa katika miaka mitano ijayo. "Nakushukuru sana Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama chetu cha CCM kwa imani yako kubwa kwangu kwa kunipendekeza kuwa msaidizi wako mkuu, miaka minne iliyopita uliniteua kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misiri, badae ukanipendekeza kupitia vikao vya Halmshauri Kuu ya CCM Taifa kuwa Katibu Mkuu wa CCM na sasa umeniamini katika nafasi ya Mgombea Mwenza" "..ndani ya miaka minne umeonesha imani yako kwangu kwa kunipa nafasi muhimu ndani ya Taifa letu na ndani ya CCM.." "..nakuhak...


Comments