Kwenye "SPORTS BACK " leo tupo na DJIGUI DIARA. Mchezaji wa Young Africa ya ๐น๐ฟ.
Jina kamili anaitwa DJIGUI OMARY CAMARY DIARRA, Mzaliwa wa Bamako kutoka kabila la Bambala. Alizaliwa February 27 mwaka 1995. Djigui ni mchezaji ambaye hakuenda mbalii sanaa kimasomo kutokana na sababu mbalimbali zizotokea kipindii hicho.
DJIGUI alikuwa ni mtu aliyependa sanaa mziki kwa maan kuwa kucheza dance uko mtaani kwako, baba ake Mzee Omary Diarra hakupendeza na kitendo cha DJIGUI kujihusisha na dance hali hiyo ilimpelekea baba ake kumpeleka kwenye academy ya timu ambayo mzee Omary alikuwa anaishabikia sanaa " STADE DE MALLIEN" ambapo DJIGUI alifanya majaribio na kufuzu ndipo akaanza kujifunza mpira chini ya academy ya STADE. 2007 Akiwa na umri wa miaka 12 na hapo alikuwa akicheza nafasi ya kiungo.
Mnamo mwaka 2011 rasmi DJIGUI alipandishwa kutoka timu ya vijana ya STADE mpkaa senior timu ya STADE akiwa kama kiungo mshambuliaji akiwa na miaka 16 akafanikiwa kucheza vizurii hali iliyopelekea kuitwa timu ya taifa ya vijana under 17 ya ๐ฒ๐ฑ.
Baada ya kuitwa timu ya vijana under 17 ya Mali ndipo alipo ona ajaribu kucheza kama mlinda lango ndipo na waalimu na beach la ufundi wakaridhika na kiwango cha yeye kuweza kukaaa langoo ndipo DJIGUI DIARA rasmi akawa golikipa hadii tunapo muomba leo SCREEN PROTECTOR . na ni protector kweli kweli ๐ ๐คฃ
Baada ya kucheza vyemaa sanaa STADE pamoja na Timu ya taifa ya Vijana ya Mali ๐ฒ๐ฑ ndipo viongozii wa YOUNG AFRICA ya jangwanii wakavutiwa naee na kumsajilii rasmi mnamo mwaka 2021 mpkaa ninapo andika nakala hiii DJIGUI OMARY CAMARY DIARRA ni mchezaji halali na protector halalii wa timu ya wananchi YANGA, Na golikipa namba moja wa timu ya Taifa ya MALII ๐ฒ๐ฑ.
NA huyo ndoo DJIGUI DIARA kwa UFUPI
Credit: ✍️ @Pajoh Msk
#AFCON2025
#viralreelschallenge
#Mali
#YoungAfricansSC

Comments