Mbunge wa Lupa Chunya, Masache Kasaka ameihoji serikali bungeni kwamba lini ujenzi wa Mradi wa Maji Chunyauliosainiwa na kutengewa fedha utaanza? Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 21, 2026 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203
Comments