Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Jackline Mzindakya akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha wa 2026/ 2027 bungeni Dodoma Aprili 28, 2026.
Moja ya mambo aliyoiomba serikali ni kukamilisha skimu za umwagiliaji na kuongeza ruzuku katika viuatilifu vitakavyosaidia kuboresha sekta ya kilimo mkoani humo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments