Mbunge wa Jimbo la Ulyankulu, Japhael Lufungija ameshangaa Jimbo hilo kutokuwa na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria na kuomba wapelekewe kwa lengo la kuwatatulia kero ya maji wananchi. Pamoja na mambo mengine, Lufungija ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Mei 5, 2026.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments