Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila ameiomba Wizara ya Maji kupeleka la RUASA wilayani Ileje kwa lengo la kusaidia kuboresha sekta ya maji wilayani humo. Aidha, Mwandabila ameitaka serikali kulipa madeni kwa makandarasi ambao miradi yao imesimama ili warejee kuikamilisha. Pamoja na mambo mengine, ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha wa 2026/ 2027 bungeni Dodoma Mei 7, 2026.

Comments