USIYO YAJUA KUHUSU ANGE KAGAME

**Kwanza ni naibu mkurugenzi mtendaji anayesimamia baraza la mikakati na sera Katika ofisi ya rais.

**Ange kagame kabla ya kuteuliwa Kuwa naibu

mkurugenzi mtendaji anayesimamia baraza la mikakati na sera

alikuwa ni mchambuzi mkuu wa sera tangu Mwaka  2019 Katika ofisi ya rais.

**Ana digree ya sayansi ya siasa na masuala ya kimataifa kutoka huko Marekani.


Usiyo yajua kutoka Ange kagame mtoto wa Kagame .

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

**Ange kagame anafanana kitabia na rais Kagame..

**Ana nguvu na ushawishi ndani ya serikali ya Rwanda.

**Inadaiwa rais Kagame  akiwa nje ya nchi  ukaimu nafasi ya urais .

**Inadaiwa baadhi ya wakuu wa vyombo vya usalama  wanaripoti kwa Ange kagame Moja kwa moja.

**inadaiwa anaigia kwenye vikao muhimu ambavyo vinakutanisha wakuu vyombo vya usalama vya Rwanda pamoja na rais Kagame ndani ya ikulu


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

BALOZI WA CHINA KUPITIA DKT. MAJULE APELEKA NEEMA KWA WANAWAKE DODOMA

SERIKALI YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA DIT KUIMARISHA USIMAMIZI WA MAAFA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

BREAKING NEWS…!! SERENGETI BOYS WAVUNJA KAMBI NA VILIO KIBAO