Matukio mbalimbali katika hafla ya uapisho wa
Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2026.
Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha na Mhe. Deogratius
John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Hussein Ali
Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya hafla ya
uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2026.
Rais Samia akiteta jambo na Mhe.
Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais.
Ndejembi akiapishwa
Ndejembi akisalimiana na viongozi mbalimbali.
Comments