VIJANA WA MUSOMA VIJIJINI WACHANGAMKIA MIKOPO YA UVUVI NA UFUGAJI

Jiografia ya Jimbo la Musoma Vijijini:*


Jumla ya Kata: 21
Kata zilizoko pembezoni mwa Ziwa Victoria: 18

*85.7% ya kata zetu ziko pembezoni mwa Ziwa Victoria*

*Kazi (ajira) kuu za Jimboni mwetu:*
Kilimo, Uvuvi, Ufugaji, na Biashara mbalimbali 

*MIKOPO kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi & Benki ya Kilimo (TADB)*

*Vijana* waliotuma maombi ya mikopo: 421

*Vijana* waliofanikiwa kupata mikopo: 194
Mafanikio: 46.1% ya maombi yote

*Jumla ya fedha za mikopo zilizopatikana:*
Tsh 1,260,270,000/=
(Tsh 1.26 billion)

*Maombi mapya ya awamu ya pili:*
Vijana 750 wametuma maombi

*Shukrani:*
Vijana wa Musoma Vijijini wanatoa shukrani nyingi sana kwa *Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan* kwa kuwawezesha kupata mikopo isiyokuwa na riba - mitaji na ajira vinaendelea kupatikana, na uchumi wa vijana unaendelea kuimarika - ahsante sana!

*Wizara ya Mifugo na Uvuvi, na Benki ya Kilimo (TADB)* hongereni kwa kazi nzuri sana!

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini 
www.musomavijijini.or.tz 

P. O. Box 6
Musoma

Date: Tue, 29 Sept 2026


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

PANYA MAGAWA WA SUA TANZANIA AJENGEWA MNARA WA HESHIMA CAMBODIA

‎JUKWAA HURU LA WAHARIRI TANZANIA, UTPC KUSHIRIKIANA KUTETEA HAKI, MASLAHI YA WAANDISHI ‎

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU