Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiwakabidhi Mbuzi watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wa mjini Unguja Zanzibar kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation na kutoa misaada ya vyakula,madafutari pamoja na mbuzi 12 kwa ajili ya sikukuu ya Eid el Fitr,Vyote vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 2.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- LONDO

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA