FARIJALA ATWAA ZAWADI YA MILIONI 10 ZA TIGO

Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi ya
hundi ya shs milioni 10 kwa mshindi wa jumla wa promosheni ya Dunia ya
Washindi, Farijala Athumani Iddi mkazi wa Singida, katika makabidhiano
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Meneja Miradi wa
Huduma za Ziada (VAS) wa Tigo, Suleiman Bushagama.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

NMB YAWAUNGANISHA WANANCHI NA HUDUMA, FURSA ZANZIBAR