KONYAGI WASHEREHEKEA KUVUKA MALENGO

Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa (katikati) akihutubia wakati wa hafla ya wafanyakazi kusherehekea uzalishaji na kuvuka malengo ya mauzo ya vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa TDL, Joseph Chibehe na Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala, Mustafa Nassoro.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA