Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited TDL, Joseph Chibehe (kushoto), akielezea mafanikio ya kiwanda hicho katika mauzo,wakati wa hafla ya wafanyakazi kusherehekea uzalishaji na kuvuka malengo ya mauzo ya vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Meneja Mkuu wa Kiwanda David Mgwassa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- LONDO

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA