TBL YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steven Kilindo (kushoto), akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kuungana na watu wengine duniani kuadhimisha Siku ya Ukimwi, eneo la kampuni hiyo, Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wahamasishaji Rika wa TBL, Hamad Maliwata.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA