BURIANI JAJI MAPIGANO


Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akisoma kwa huzuni kipeperushi kinachoelezea wasifu wa marehemu Jaji mstaafu, Dan Mapigano wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Majaji wakibeba jeneza la mwili wa Jaji msitaafu Mapigano tayari kutolewa heshima za mwisho.

Mjane wa marehemu Jaji mstaafu, Dan Mapigano, Florence (wa pili kulia) na mwanawe, Shila Mapigano (wa pili kushoto) wakiwa na Spika wa zamani wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela (kushoto) pamoja na Mke wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, Samuel Sitta, Maragareth Sitta, wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Jaji Kiongozi, Fakhi Jundu

Baadhi ya waombolezaji

Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba akiwasili kutoa heshima za mwisho

Jaji mstaafu, Robert Mihayo akisoma wasifu wa Marehemu Mapigano

Ali Hassan Mwinyi akimfariji mtoto wa Jaji Mapigano, Shila.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

NMB YAWAUNGANISHA WANANCHI NA HUDUMA, FURSA ZANZIBAR