MKUTANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAFANA DAR

Bendera za Nchi wanachama wa Jumuiya tya Afrika Mashariki zikipepea nje ya Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam, ambapo Mkutano wa wakuu wa nchi hizo walikutana kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu na Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya wakiwa kwenye Mkutano huo.




Waziri wa Maji, Profesa Mark Mwandosya akijadiliana jambo na Waziri wa Biashara wa Kenya, Chirau Mwakwere wakati wa mkutano huo.




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN

BREAKING NEWSSSS. WABUNGE WAPATA AJALI

π—₯π—”π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—™π—¨π—‘π—šπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—žπ—” 2024 πŸ”°

MONGELLA AWATEMBELEA HOSPITALI WALIOMWAGIWA TINDIKALI

GERSON MSIGWA AREJESHWA KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

AUCHO, BACCA, BOKA WAJUMUISHWA KWENDA ALGERIA LEO