LUCK KAGUO AWA KINARA WA MASOMO SHULE YA MWANDEGE

Lucky Kaguo ambaye ni mtoto wa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Titus Kaguo akiwa na Mama yake, Mchungaji Flora Kaguo na mdogo wake Mcdonald, baada ya kuzawadiwa vyeti vya kuongoza vizuri katika masomo ya Kiingereza, Historia na Jiografia katika mahafali ya Kidato cha nne yaliyofanyika LEO katika Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Mwandege, mkoani Pwani. (NA MPIGAPICHA WETU)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA

TAKUKURU YAPONGEZWA KUWA BEGA KWA BEGA NA MBIO ZA SEPESHA ZINAZOPINGA RUSHWA YA NGONO

NDOGO WA MUME WANGU ALIKUWA EX WANGU