MAADHIMISHO MIAKA 50 YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.WANAFUNZI WAANDAMANA KULALAMIKIA MAISHA MAGUMU



Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akihutubia katika maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika maadhimisho hayo
JK akihutubia katika maadhimisho hayo
Wanafunzi wa UDSM wakiandamana kupinga maadhimisho hayo wakidai mambo yao bado siyo mazuri chuoni hapo, kiasi cha kuwafanya kulala nje kwa ukosefu wa mabweni
Rais Yoweri Museveni akilakiwa na JK pamoja na Makamu Mkuu wa UDSM, Mukandara
Museveni akilakiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi
JK akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa UN, Dk Asha Rose Migiro (wa pili kulia), Rais mstaafu, Ali Hassan Mwini, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kulia)
Wanafunzi wakiwa na mabango walipokuwa wakiandamana

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

PANYA MAGAWA WA SUA TANZANIA AJENGEWA MNARA WA HESHIMA CAMBODIA