SERIKALI SASA IMEACHA URASIMU KWENYE UMEME

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adamu Malima (aliyekaa katikati), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Semina ya kuweka mipango maalumu ya kueleweka ya kuondoa kero ya umeme nchini, ambapo inatakiwa kuwepo naTaasisi zitakazoshughulikia Mipango, Ununuzi na masuala ya mikataba
Waziri Malima akisalimiana na baadhi ya wana semina baada ya kufungua semina hiyo
Naibu Waziri Malima (wa pili kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Haruna Masebu na Mkurugenzi wa Bodi ya EWURA, Simon Sayore wakati wa semina hiyo.
Malima akifafanua jambo mbele ya wanahabari, baada ya kufungua semina hiyo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

PANYA MAGAWA WA SUA TANZANIA AJENGEWA MNARA WA HESHIMA CAMBODIA