PAMBANO LA NDONDI LAIVU MITAA YA BUKOBA


Kabla sijajua kisa cha valangati hili kwanza ni kucheza na Camera...
Mdau akitembezewa kichapo chenye mchanganyiko wa Matusi
Ni bongo la fearturing aka Kyankomela
Kisa ni kwamba kijana mmoja "mtanashati" aliyejichanganya mtaa wa Wamachinga waliopo barabara ya Government mkabala na msikiti wa Jamia.
Alionekana akitokea Nyuma ya Vibanda vya machinga hao,ndipo machale yalipowacheza na ikatokea hali ya sintofahamu na kuanza kumhoji ni wapi anatokea na baada ya kijana huyo kukosa jibu sahihi ndipo akatembezewa kichapo kikali kutoka kwa Machinga hao.Kwa hisani ya Bukobawadau Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

NMB YAWAUNGANISHA WANANCHI NA HUDUMA, FURSA ZANZIBAR