WENGI WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA JAJI LEWIS MAKAME DAR

 Majaji wakiliingiza kwenye gari jeneza lenye mwili wa Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame, baada ya ibada ya kumuombea iliyofanyika katika Kanisa la St. Albano la Anglikana, Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam
 Waombolezaji wakipita kumuaga Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam
 Padri Augustino Ramadhani ambaye ni Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania, akipita kuuaga mwili wa Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), marehemu Jaji mstaafu Lewis Makame, baada ya kuendesha ibada ya kumuombea katika Kanisa la Anglikana la St. Albano, Dar es Salaam
Mjane wa marehemu, Lewis Makame, Mary Makame akiuaga mwili wa mumewe katika Kanisa la St. Albano la Anglikana, Dar es Salaam. Mwili wa marehemu unasafirishwa kesho kwenda Kijiji cha Tongwe, wilayani Muheza,Tanga kwa mazishi. PICHA ZOTE NA MDAU KHAMISI MUSSA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN

BREAKING NEWSSSS. WABUNGE WAPATA AJALI

π—₯π—”π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—™π—¨π—‘π—šπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—žπ—” 2024 πŸ”°

MONGELLA AWATEMBELEA HOSPITALI WALIOMWAGIWA TINDIKALI

GERSON MSIGWA AREJESHWA KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

AUCHO, BACCA, BOKA WAJUMUISHWA KWENDA ALGERIA LEO