BIASHARA YA PANYA KAMA KITOWEO YAINGIA IRINGA MJINI



Kijana Fredy Mahoma ambae ni mfanyabiashara wa mitego ya panya na panya wazima akisaka wateja wa panya leo mjini Iringa ,panya mmoja anauzwa Tsh 2000 wakati mtego unauzwa Tsh 10,000 kijana huyo anatokea mkoani Dodoma na anadai soko la panya ni kubwa kwa baadhi ya watengeneza sambusa na wanafunzi kwa ajili ya somo la sayansi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN

BREAKING NEWSSSS. WABUNGE WAPATA AJALI

π—₯π—”π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—™π—¨π—‘π—šπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—žπ—” 2024 πŸ”°

MONGELLA AWATEMBELEA HOSPITALI WALIOMWAGIWA TINDIKALI

GERSON MSIGWA AREJESHWA KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

AUCHO, BACCA, BOKA WAJUMUISHWA KWENDA ALGERIA LEO