Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akisisitiza
jambo alipokuwa akiwahutubia Wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro akitokea Mkoani Dodoma. Julai
27,2917.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Akihutubia Wananchi wa eneo la Stendi ya
Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro waliokuwa
wamejitokeza kumsalimia akitokea Mkoani
Dodoma. Julai 27,2917.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza
Bi Maria Gabrieli aliyemweleza Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara
ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu
Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27,2917.
Comments