ASKOFU CHANDE AIOMBEA IWEZE KUFANIKIWA MIRADI YA MAENDELEO ALIYOITANGAZA RAIS SAMIA+video

 



MWENYEKITI wa Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dodoma, Askofu Dkt. Evance Chande akiongoza maombi ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na miradi aliyoitangaza Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko -19 jijini Dodoma. Maombi hayo yaliyowashirikisha waumini yamefanyika leo Oktoba 17,2021 wakati wa ibada maalumu katika Kanisa lake lililopo eneo la Ipagala, jijini Dodoma.

Askofu Dkt Chande akihubiri wakati wa ibada za kuiombea miradi hiyo.
Waumini wakishiriki kwenye maombi hayo.





PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia kwenye clip hii ya video hapa chini ujue yaliyojiri wakati wa maombi hayo ya kumombea Rais Samia na miradi aliyoitangaza.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE