SERIKALI KUANZISHA USAFIRI WA MWENDOKASI MAJIJI YOTE NCHINI+video

 

 



Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Novemba 30,2021 kuelezea tulikotoka, tulipo na twendako pamoja na changamoto na mafanikio kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Waziri Ummy pamoja na mambo mengine ameelezea pia azma ya Serikali kuboresha usafiri wa umma kwa kuanzisha Wakala wa Usafiri wa Haraka katika majiji mengine nchini ambayo ni Arusha, Tanga, Mwanza na Mbeya.


Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano huo.


Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini wakati Waziri Ummy, akielezea changamoto na mafanikio ya wizara hiyo.



Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa  akizungumza wakati wa kuhitimisha mikutano ya mawaziri kuelezea changamoto na mafanikio ya wizara zao ndani ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Mikutano hiyo ilianza Novemba 2, 2021.
Waziri Ummy (kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo, Gerson Msigwa wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Dkt  Grace Magembe walipokuwa wakijadiliana jambo baada ya mkutano kumalizika.
Waziri Ummy akiondoka baada ya mkutano kumalizika.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Ummy  pamoja na mambo mengine akielezea mipango hiyo ya kuanzisha usafiri wa haraka katika majiji nchini....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*