TGGA YAENDESHA MAFUNZO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA MLEZI WAO RAIS SAMIA+video



Baadhi ya wakufunzi wakiimba wimbo wa hamasa wakati wa mafunzo ya kuwajengea  uwezo wa uelewa kuhusu mabadiliko ya Tabianchi yanayoendeshwa na Chama cha Skauti wa Kike cha Tanzania Girl Guides Association (TGGA) pamoja na chama cha Skauti wa Kike Duniani (WAGGGS) jijini Dar es Salaam. TGGA imeamua kumuunga mkono Mlezi wao Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya Tabianchi.


Mkufunzi kutoka Zanzibar, Adila Kassim akisoma moja ya miongozo ya mabadiliko ya tabia nchi wakati wa mafunzo kwa vitendo katika Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), kurasini Dar es Salaam.


Mkufunzi kutoka Kigambonbi, Dar es Salaam, Rose Goima akijibu swali wakati wa mafunzo hayo.
Baashi ya wakufunzi wakiwa makini kusikiliza wakati wa mafunzo hayo.
Alice Kestell Mkufunzi  wa kujitolea kutoka WAGGGS akiendesha mafunzo kwa vitendo.


Valentina Gonza wa TGGA akiendesha mafunzo

Germaine Umuraza kutoka Rwanda akijibu swali wakati wa mafunzo hayo.
Wakiwa katika mafunzo kwa vitendo.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Katibu Mkuu wa TGGA, Wintapa na wakufunzi wakielezea umuhimu wa mafunzo hayo katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya Tabianchi ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Mlezi wao Rais Samia.....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI