KAMONGA AIOMBA SERIKALI KUIPA KIPAUMBELE LUDEWA UWEKAJI UMEME KWENYE VITONGOJI+video

 Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga akichangia mjadala wa makadilio ya Bajeti ya Wizara ya Nishati bungeni Dodoma Juni Mosi, 2022, ameiomba serikali kuvipa kipaumbele vitongoji vya Ludewa kuwekewa umeme.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akipambania umeme Ludewa...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

RAIS SAMIA AMZAWADIA NYUMBA SIMBU