UTAFITI WAJA NA 'DAWA MPYA' YA KUSAIDIA TIBA YA WAGONJWA WA AFYA YA AKILI +video

 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Paul Lawala akizungumza na vyombo vya habari baada ya kupokea matokeo ya ripoti ya utafiti wa kusambaza kwa familia elimu ya saikolojia kusaidia kutibu wagonjwa wa afya ya akili.

Matokeo ya utafiti huo uliofanyika katika mikoa ya Mbeya na Da es Salaam yametolewa katika kikao cha wadau kilichofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe jijini Dodoma Juni16,2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Lawala na wadau wengine walioshiriki kwenye utafiti huo wakielezea....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI