BODI YA FILAMU: VIBANDA UMIZA KUORODHESHWA KUWEKEWA UTARATIBU MPYA WA KUONESHA FILAMU+video

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Dkt.Kiagho Kilonzo  ameeleza katika mkutano na waandishi wa habari katika Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma leo Oktoba 4, 2022,  kuwa imo kwenye mchakato wa kuviorodhesha vibanda umiza vyote nchini na kuviwekea uratibu mzuri wa kuonesha filamu.


Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, ambaye pia ndiye Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Dkt.Kiagho Kilonzo   kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za bodi hiyo.


Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.



PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue yaliyojiri kwenye mkutano huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

DKT. TULIA ATAJA MAFANIKIO YAKE AKIWA RAIS WA IPU