ASKOFU CHANDE AONGOZA KULIOMBEA TAIFA AMANI NA UTULIVU+video

Askofu Dkt.  Evance Chande wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God la Ipagala jijini Dodoma na wazee wa kanisa wakiliombea amani na utulivu  Taifa na viongozi wakuu wa serikali wakati wa ibada iliyofanyika kanisani hapo ikiwa pia ni kuukarisha mwaka mpya wa 2023.
Askofu Chande akinena kwa maneno wakati wa kuliombea Taifa.
Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wakiliombea Taifa la Tanzania liwe la Amani na Utulivu.
Kanisa la Karmeli Assemblies of God ambapo maombi yamefanyika.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Askofu Chande akifanya maombi hayo....







 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA