PROF. NDAKIDEMI AITAKA SERIKALI KUHARAKISHA UJENZI WA NJIA YA WATU MASHUHURI KWENDA KUUONA MLIMA KILIMANJARO+video

                                              


Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameiomba serikali bungeni Dodoma Aprili 5, 2023, kuona umuhimu wa kujenga miundombinu ya barabara kurahisisha watalii kufika kuona mti mrefu kulio yote Afrika.

Aidha, ameiomba serikali kujenga njia maalumu ya watu mashuhuri kupita kwenda kupanda Mlima Kilimanjaro.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video.Prof. Ndakidemi pamoja na mambo mengine ameiomba serikali kujenga barabara kwenda kwenye mti huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

NMB YAWAUNGANISHA WANANCHI NA HUDUMA, FURSA ZANZIBAR