UWT WALAKIWA KWA SHANGWE LINDI, CHATANDA AKEMEA UNYANYASAJI KIJINSIA+video

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Taifa (UWT), Mary Chatanda akihutubia katika mkutano wa ndani wilayani Kilwa, Lindi katika ziara ya kikazi ya kuihuisha Jumuiya kuanzia ngazi ya Shina.

Chatanda pamoja na Kamati ya utekelezaji ya Jumuiya hiyo wako kwenye ziara ya kikazi ya siku 18 katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma ambapo pamoja na mambo mengine watatoa elimu kwa wananchi kuhusu makubaliano ya uendeshaji wa bandari nchini.


Aidha, Chatanda ameionya jamii kuacha tabia mbovu ya unyanyasaji wa kijinsia na hasa ubakaji watoto.

Makamu Mwenyekiti wa UWT, Zainab Khamis Shomari, akiwa na furaha.
Zainab akihutubia katika mkutano huo.
Chatanda akisisitiza jambo.
Wanachama, wapenzi wa CCM pamoja na wananchi wakiukaribisha uongozi wa UWT ulipowasili wilayani Kilwa tayari kuanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Lindi na baadaye kuendelea katika mikoa ya Mtwara na Ruvuma
 


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA