DIARRA, AZIZ KI KUCHUANA AFCON


 Droo ya hatua ya 16 bora ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 imetoka huku wenyeji, Ivory Coast wakikutanishwa dhidi ya Mabingwa Watetezi, Senegal.


Nyota wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki na golikipa Djigui Diarra wanatarajiwa kuchuana katika hatua hiyo baada  ya Mali ya Djigui Diarra kukutanishwa dhidi ya Burkina Faso ya Stephanie Aziz Ki.


DROO KAMILI


JANUARI 27

Angola 🇦🇴 vs 🇳🇦 Namibia 

Nigeria 🇳🇬 vs 🇨🇲 Cameroon 


JANUARI 28

Guinea ya Ikweta 🇬🇶 vs 🇬🇳 Guinea

Misri 🇪🇬 vs 🇨🇩 DR Congo


JANUARI 29

Cape Verde 🇨🇻 vs 🇲🇷 Mauritania

Senegal 🇸🇳 vs 🇮🇪 Ivory Coast


JANUARI 30

Mali 🇲🇱 vs 🇧🇫 Burkina Faso

Morocco 🇲🇦 vs 🇿🇦 Afrika Kusini



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

DKT. TULIA ATAJA MAFANIKIO YAKE AKIWA RAIS WA IPU