DKT NCHIMBI: MIMI, RAIS SAMIA NI WAFUASI TUSIOYUMBA WA MWALIMU NYERERE


 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema kuwa  yeye na Rais Samia Suluhu Hassan ni wafuasi wasioyumba wa Hayati Mwalimu Julius Nyerere.


Pamoja na mambo mengine Dkt Nchimbi ameyasema hayo alipokuwa akihutubiwa  katika mkutano wa hadhara mjini Namanyere, Nkasi mkoani Rukwa Aprili 14, 2024 wakati wa ziara yao ya kikazi ya siku 10 katika mikoa 6 nchini.


Katika ziara hiyo yenye mafanikio aliambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM,  Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla na Katibu wa Oganaizesheni, Issa Haji Gavu.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

YANGA BADO POINTI 2 TU ITANGAZE UBINGWA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA