Katibu wa Oganaizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Haji Gavu amewaagiza viongozi wa CCM wa mkoa, wilaya na kata kuhakikisha vikao vya wanachama wa shina na matawi vinafanyika kwa wakati na kwa mujibu wa Katiba ya CCM.
Pamoja na mambo mengine Gavu alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa ndani wa makada wa chama hicho uliohutubiwa pia na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Nchimbi mjini Songea wakati wa ziara yao ya kikazi mkoani Ruvuma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203
Comments