KUTOKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA KWENYE MAOMBI YA KULIOMBEA TAIFA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo anawaongoza Watanzania katika maombi na dua maalum ya kuliombea taifa katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Picha baadhi ya viongozi wa Serikali na Dini wakiwa katika shamrashamra hizo zinazoendelea katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Ikumbukwe kuwa mwaka huu April 26 Tanzania inaadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar sherehe hizo zitafanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam na Mgeni rasmi ni Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan 

(Imeandikwa na Manase Madelemu)





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

DKT NCHIMBI AAGIZA UJENZI UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA UKAMILIKE HARAKA