NIMESIKITISHWA, NIMESHANGAZWA NA KAULI ZA KIBAGUZI ZA TUNDU LISSU - MAKALLA

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesikitishwa na kushangaa kauli zenye hila na upotoshwaji zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu zenye lengo la kuigawa nchi. Ameonesha masikitiko hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Aprili kuhusu kauli hizo alizozitoa Lissu alipokuwa akihutubia wananchi jijini humo ambapo alitoa kauli ya kibaguzi kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibar.
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

YANGA BADO POINTI 2 TU ITANGAZE UBINGWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

MWANACHADEMA MSEMAJI WA WAMACHINGA TAIFA AHAMIA CCM