Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo bungeni Dodoma Aprili 29, 2024, kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Mfuko wa Mahakama kwa mwaka wa fedha 2023/2024 pamoja na makadirio ya Bajeti ya mfuko huo kwa mwaka wa fedha 2024/2025.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments