Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wapiga picha toka vyombo mbalImbali vya habari hapa nchini (enzi hizo) wakati alipokuwa akiwaaga ikulu jijini Dar es Salaam mwaka 1985. Toka kushoto waliosimama ni mpiga picha Mkuu wa Gazeti la Mfanyakazi Maxi Madebe, Mpiga picha mkuu wa SHIHATA Sam Mmbando, Mpiga picha mkuu wa gazeti la Daily News Vicent Urio na mpiga picha mkuu wa serikali John Baptist Makwaia. Wengine ni mpiga picha wa sinema wa Taasisi ya Vielelezo (AVI),Mzee Sailen, wapiga picha wa SHIHATA Juma Dihule na Adinan Mihanji. Mwisho ni mpiga picha wa Idara ya Habari Maelezo, Moshy Kiyungi. Waliochuchumaa toka kushoto ni mpiga picha wa Ikulu, mpiga picha wa Maelezo na baadaye Mbunge wa Mlalo, Charles Kagonji, mpiga picha Daily News Gasper Msillo, mpiga picha wa Maelezo Mwanakombo Jumaa, mpiga picha mkuu wa Uhuru na Mzalendo na baadaye Mpiga Picha wa Ikulu Zanzibar, Khatib Ally na mpiga picha wa Maelezo na baadaye mpiga picha mkuu wa serikali, Raphael Hokororo.

Comments