Wabunge na waandishi wa habari wamehudhuria warsha iliyohusu fursa na changamoto za kutumia Akili Bandia (Mnemba) AI, wakati wa maadhimisho wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani lililofannyika jijini Dodoma Aprili 2, 2024.
Warsha hiyo iliyoandaliwa kwa pamoja na Omuka Hub, UNESCO, NUKTA AFRIKA na Jamii Forum ilikuwa na lengo la kujadili fursa na changamoto za AI pia kuangazia matumizi ya AI na Teknolojia katika eneo la habari.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Nukta Africa, Nuzulack Dauzen
mMbunge wa Mwanga, Joseph Thadao.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, ZZamaradi.
Mtangazaji wa ITV, Idda Mushi.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wabunge waliohudhuria warsha hiyo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments