PROF NDAKIDEMI: WEKENI HARAKA VIBERENGE MLIMA KILIMANJARO

                               

Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kujenga barabara kuelekea Mlima Kilimanjaro ili kuvutia zaidi watalii, lakini pia ameishauri serikali kuweka viberenge katika mlima huo ili kuongeza idadi zaidi ya watalii.

Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 bungeni Dodoma Juni 3, 2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

NDEJEMBI KUTOKA MFANYAKAZI WA GSM HADI KUWA MAKAMU WA RAIS