- KISWAGA ANENA HAYA MBELE YA WAZIRI MKUU MAJALIWA


 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga amempongeza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na Waziri Mkuu, Jassim Majaliwa kwa kuupa uzito unaostahili Mkutano Maalumu wa Viongozi, Wataalam na Wadau kuhusu mwelekeo wa hali ya mazingira nchini.

Ametoa pongezi hizo wakati Waziri Mkuu Majaliwa akijiandaa leo kufunga mkutano huo wa siku mbili uliofunguliwa na Makamu wa Rais, Dk. Mpango jana kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

NDEJEMBI KUTOKA MFANYAKAZI WA GSM HADI KUWA MAKAMU WA RAIS