TAIFA LETU LINALIA, LINAANGAMIA-DK MPANGO


 Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema kuwa hivi sasa Taifa letu, Nchi yetu inalia kutokana na uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea nchini.

Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano maalumu wa viongozi, Watalaam na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwenendo wa Hali ya Mazingira nchini uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Septemba 9, 2024.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

NMB YAWAUNGANISHA WANANCHI NA HUDUMA, FURSA ZANZIBAR