MATUKUO YA WAZIRI LUKUVI BUNGENI DODOMA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Serikali bungeni, William Lukuvi (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Makambako, Deo Sanga bungeni Dodoma.

Lukuvi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo baada ya bunge kujadili na kushauri na hatimaye kupitisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleowa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 pamoja na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwaMwaka wa Fedha 2025/2026.

Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Isimani, Iringa akijadiliana jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari.
Lukuvi akizungumza jambo na Waziri wa Maji, Jumaa Awesso.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

KANUNI 10 ZA MAHUSIANO YENYE FURAHA

HAKI 13 ZA MWANAMKE LAZIMA MWANAUME AZIHESHIMU:

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

RAIS DKT.MWINYI: ZANZIBAR KUWA KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

ACHENI KUWA CHANZO CHA CHOKOCHOKO NA VURUGU - ASKOFU CHANDE

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI