Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, aishukuru Serikali kwa utekelezaji wa miradi miwili mikubwa Jimboni mwao.
Vilevile, Mbunge huyo ameongelea vipaumbele muhimu vya kukuza uchumi wa Taifa letu kwa kiwango cha asilimia kumi (10%)
Tafadhali sikiliza CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Comments