TUKIFANIKISHA MRADI WA GESI, LIGANGA NA MCHUCHUMA UCHUMI UTAPAA ZAIDI - MWANYIKA


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameishauri serikali kuweka msukumo mkubwa kwenye mazingira ya uwekezaji alipokuwa akichangia mapendekezo ya Mpango ifa wa Maendeleo kwa mwaka 2025 - 2026 na mwelekeo wa Bajeti ya serikali kwa mwaka 2025 - 2026.

Pamoja na kupambania uboreshaji wa sekta ya kilimo amesema kuwa mradi wa Liganga na Mchuchuma tuuharakishe na ukianza utasaidia kubadilisha haraka uchumi wa nchi.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

KANUNI 10 ZA MAHUSIANO YENYE FURAHA

HAKI 13 ZA MWANAMKE LAZIMA MWANAUME AZIHESHIMU:

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

RAIS DKT.MWINYI: ZANZIBAR KUWA KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

ACHENI KUWA CHANZO CHA CHOKOCHOKO NA VURUGU - ASKOFU CHANDE

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI